kwa hali kama iyo katika mavyuo vye2 vikuu unategemea kupata wasomi wa uhakika , watahalamu wabaadaye na je unafikilianini kwa kizazi kinachokuja wanajifunza nini kwa ilo , kama wameanza kufanya ivyo mavyuoni me naamini atawakija kuwa watumishi wa umma watafanya ivyo ivyo kwenye maofisi yao.
No comments:
Post a Comment