MISS TANZANIA HUYU HAKOMI KUPIGA PICHA ZA UCHI
CHUMA BLOG
Miss Tanzania 2011, Husna Mauldi (kushoto), akiwa kwenye vazi linalomuonyesha wazi sehemu kubwa ya mwili wake, Wasiwasi wangu ni kwamba hivi karibuni mrembo huyu alifunga pingu za maisha tena kwa shangwe na mbwembwe za kumwaga, swali la kujiuliza pamoja na kulipotiwa mara kwa mara akiwa amepiga picha za utupu inamaana hajakoma tu?
Husna (wa kwanza kushoto), akiwa kwenye pozi na baadhi ya marafiki zake ndani ya moja ya Hoteli kubwa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment