Monday, November 19, 2012
AY awaumbua KILI MUSIC AWARD
Wiki iliyopita macho na masikio ya wapenzi wa muziki barani Afrika yalikuwa kule SOUTH AFRICA ambako kulikuwa kunatolewa tuzo za wanamuziki bora wa afrika lakini chakushangaza wale walio chukuwa tuzo za mwanamuziki bora wa tanzania yaaaani kili music award hakuwepo atammoja na mtanzania aliyepata tuzo akuwepo kwenye kinyanganyilo cha kili music award. Kwa iyo inamaana yeye hakuwa bora tanzania bali ni bora africa , kauli iyo naipinga kwa asilimia mia uwezi kuwa bora Africa ushidwe kuwa bora nchini mwako. Hunajua namzungumzia nan , Hapa namzungumzia mtu mzima AY ambaye amechukuwa tuzo ya video bora , sisemi kama video ya Diamond ya moyo wangu iliyo kuwa bora kwenye kili kama ni mbaya laasha nachoangalia ni kweli ata katika kinyanganyilo imekosa, kweli AY amewaumbua kili music award.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment